Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua Kipazia kuashiria ufunguzi wa Msikiti wa Abrar, uliopo Fuoni Kibondeni, Mkoa wa Mjini Magharibi leo, tar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua Kipazia kuashiria ufunguzi wa Msikiti wa Abrar, uliopo Fuoni Kibondeni, Mkoa wa Mjini Magharibi leo, tarehe 10 Julai 2026, wakati alipojumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa.