RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofu Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania Askofu Maimbo Mndolwa, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-8-2023, alipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.