Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Soko la Kib
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika Soko la Kibanda Maiti, Mkoa wa Mjini Magharibi Dk. Mwinyi amesema tayari michoro ya Soko la Kisasa la Kibanda Maiti imekamilika na fedha za kutosha zimetengwa ili kuhakikisha ujenzi huo unakamilika kwa wakati.