Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi na kusisitiza haja ya kwenda…

Read More

Dk. Hussein Mwinyi, leo Oktoba 23, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye aliyeongozana na Ujumbe wake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, leo Oktoba 23, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye aliyeongozana…

Read More

Dk. Hussein Mwinyi amewahakikishia mazingira mazuri ya kufanya Uwekezaji Visiwani Zanzibar kwa wawekezaji wote wa ndani ambao wangependa kuja kuwekeza Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amewahakikishia mazingira mazuri ya kufanya Uwekezaji visiwani Zanzibar kwa wawekezaji wote wa ndani ambao wangependa…

Read More