Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha watendaji mbali mbali aliowateua hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha watendaji mbali mbali aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa zao.Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu…
Soma Zaidi