RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.