Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.