Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa bado kuna kazi kubwa inayohitaji kufanywa ili kuwa na wataalamu wa kutosha hasa katika utoaji wa huduma za upasuaji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa bado kuna kazi kubwa inayohitaji kufanywa ili kuwa na wataalamu wa kutosha hasa katika utoaji wa huduma…
Read More