Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana na magonjwa ya figo hapa nchini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana…
Soma Zaidi