RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Istiqama Zanzibar kwa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuwahudumia wananchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Istiqama Zanzibar kwa kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuwahudumia…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza utayari wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India wa kujenga kituo cha Kimataifa cha michezo hapa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ampongeza utayari wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India wa kujenga kituo cha Kimataifa cha michezo hapa Zanzibar.

Soma Zaidi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza matumizi ya mashine ya EFD katika ukusanyaji kodi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza matumizi ya mashine ya EFD katika ukusanyaji kodi, sambamba na kuwataka wananchi kudai Risiti wanapofanya…

Soma Zaidi

Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa mazoezi ni umoja, mshikamano na upendo ambao utaendelea kuleta amani ya kudumu hapa Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa mazoezi ni umoja, mshikamano na upendo ambao utaendelea kuleta amani ya kudumu hapa Zanzibar.Mama Mariam Mwinyi aliyasema hayo leo huko…

Soma Zaidi