Rais wa Zanzibar na MB LM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Chakula Duniani Nchini Tanzania Bi.Sarah Gordon-Gibson Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza mikakati na mipango iliyowekwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP), kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya…
Read More