Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ni lazima Serikali iongeze kasi ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi na kuanzisha miradi mipya ya maji safi na salama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kwa vile maji ni uhai lazima Serikali iongeze kasi ya upatikanaji wa huduma hiyo kwa wananchi kwa kuendeleza…
Read More