News and Events

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema imepiga hatua kubwa ya kukabiliana na mahitaji ya makazi ya watu wanaoongezeka siku hadi siku

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema imepiga hatua kubwa ya kukabiliana na mahitaji ya makazi ya watu wanaoongezeka siku hadi siku, kwa kuzingatia kumudu gharama za nyumba na makaazi endelevu.Rais…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Afya kutokana na umuhimu wa sekta hiyo kwa jamii

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imeweka uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Afya kutokana na umuhimu wa sekta hiyo kwa jamii.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria msiba wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Marehemu Bi. Thereza Olban Ali nyumbani kwake Miembeni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria msiba wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Marehemu Bi. Thereza Olban Ali nyumbani kwake Miembeni,…

Read More

Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa.Al hajj Dk. Mwinyi ameyasema…

Read More