News and Events

Serikali itaendelea kuongeza bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwani ni sekta ya kipaumbele kwa maendeleo ya nchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuongeza bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwani ni sekta ya kipaumbele kwa…

Read More

Dk.Mwinyi ameiagiza Jumuiya ya Wazazi ya CCM kufanyakazi ya uhamasishaji wa Wanachama kuhakikisha wenye sifa wanajiandikisha kwenye daftari la kupiga kura awamu ya pili.tari la kudumu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanyakazi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji kuungwa mkono zaidi hasa kwenye eneo la utaalamu, miundombinu na kuwajengea uwezo watendaji wa sekta ya afya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji kuungwa mkono zaidi hasa kwenye eneo la utaalamu, miundombinu na kuwajengea uwezo watendaji…

Read More