News and Events

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar na kuridhia ombi la wafanyabiashara la kuongezewa siku mbili zaidi.Akizungumza…

Read More

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulkia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kushirikiana…

Read More

Dk. Mwinyi amesema serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Nane inaendelea kuchukua juhudi za kufufua uchumi hatua kwa hatua ambapo tayari…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49) waliokuwa wakitumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na…

Read More

Alhaj Dk.Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili iwaletee maendeleo.Alhaj Dk. Hussein aliyasema…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies kwa kuendelea kuhubiri amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Kanisa la ‘Tanzania Assemblies of God’ (TAG) kwa kuendelea kuhubiri amani na kuliombea…

Read More