News and Events

Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi kwa kuendeleza Uchumi wa Buluu na kuweka mkazo katika kuziimarisha sekta za huduma, ikiwemo sekta ya utalii,…

Read More

DK. MWINYI AMEPONGEZWA NA UNICEF.

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) limempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kwa kishindo na wananchi…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amemuapisha Naibu Katibu Mkuu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi leo amemuapisha Rashid Said Rashid kuwa Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mifumo ya teknolojia ya habari…

Read More

Dk.Hussein Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Z;bar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka Jumuiya ya Madhehebu ya Bohora kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa…

Read More

UTEUZI

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Rais Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Mawaziri aliowatewa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na kuwaambia wananchi kazi imeanza na wategemee…

Read More