News and Events

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuendelea kushirikiana na TRA kuimarisha ukusanyaji wa Mapato.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika juhudi za kuimarisha utendaji…

Read More

Taasisi za Elimu ya juu ni msingi wa Maendeleo ya Taifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Taasisi za Elimu ya Juu zina mchango mkubwa katika kukuza sekta ya elimu na kuandaa rasilimali watu…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na wawekezaji na wamiliki wa makampuni matatu ambayo yameonesha nia ya kuwekeza Zanzibar,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na wawekezaji na wamiliki wa makampuni matatu ambayo yameonesha nia ya kuwekeza Zanzibar, yakijumuisha…

Read More