News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inahitaji ufumbuzi wa haraka kuongeza huduma za jamii vijijini.Dk. Mwinyi aliyasema hayo kwenye…

Read More

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mariam Mwinyi ametoa rai kwa watafiti kulifanyia utafiti zao la mwani ili kulitambulisha zaidi duniani

MSARIFU na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mariam Mwinyi ametoa rai kwa watafiti kulifanyia…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania kwenye maeneo yao ya kazi kuangalia zaidi fursa za Uchumi na Maendeleo kwa lengo la kuifanyia kazi kwa vitendo Sera ya mambo ya Nje y

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania kwenye maeneo yao ya kazi kuangalia zaidi fursa za Uchumi na Maendeleo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaasa Watanzania waliokabidhiwa vyeti kwa Tajnisi kuendeleza utiifu wa sheria na kuendelea kusihi kwa kujiepusha na vitendo viovu ili wasipotoshe dhamira njema ya Serikali y

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaasa Watanzania waliokabidhiwa vyeti kwa Tajnisi kuendeleza utiifu wa sheria na kuendelea kusihi kwa kujiepusha…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kuanzisha mpango wa kupunguza kiwango kikubwa cha fedha zinaz

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kuanzisha mpango wa kupunguza kiwango kikubwa cha fedha…

Read More