News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Sensa ya Watu na Makaazi 2022 ina mchango mkubwa katika kuimarisha shughuli mbali mbali za sekta ya uchumi wa Buluu hapa nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Sensa ya Watu na Makaazi 2022 ina mchango mkubwa katika kuimarisha shughuli mbali mbali za sekta ya uchumi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wazanzibari wote kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi 2022,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wazanzibari wote kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makaazi 2022, linalotarajiwa kufanyika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa Madaktari kutoka Jumuiya ya ‘Korea National Turbaculosis Association’ utafungua milango kwa Madaktari na Wataalamu wa afya wa Taifa hilo kuja nchini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa Madaktari kutoka Jumuiya ya ‘Korea National Turbaculosis Association’ utafungua milango kwa Madaktari…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Vijana kuendelea kuyatumia Mabaraza ya Vijana kama Chemchem ya fikra mpya na jukwaa la kupaza sauti zao katika masuala muhimu kwa maendeleo ya taifa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Vijana kuendelea kuyatumia Mabaraza ya Vijana kama Chemchem ya fikra mpya na jukwaa la kupaza sauti zao…

Read More