News and Events

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuwalipa fidia ya vipando na majengo wananchi wote wa eneo la Bumbwini waliopitiwa na mradi wa barabara na ujenzi wa bandari jumuishi ya Mangapwani

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuwalipa fidia ya vipando na majengo wananchi wote wa eneo la Bumbwini waliopitiwa na mradi wa barabara na ujenzi wa bandari jumuishi ya Mangapwani.Rais…

Read More

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano mzuri uliopo baina ya Zanzibar na India umenedelea kuimarika

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano mzuri uliopo baina ya Zanzibar na India umenedelea kuimarika.Amesema, mbali na ushirikiano wakaribu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha Zanzibar wafanyabiashara wakubwa na wenye viwanda kutoka China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha Zanzibar wafanyabiashara wakubwa na wenye viwanda kutoka China. Akizungumza na Makamo Mwenyekiti wa…

Read More