Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inasaidia upatikanaji wa usafiri pamoja na vifaa vya mawasiliano kwa ajili ya Jeshi la Polisi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inasaidia upatikanaji wa usafiri pamoja na vifaa vya mawasiliano…
Read More