News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inasaidia upatikanaji wa usafiri pamoja na vifaa vya mawasiliano kwa ajili ya Jeshi la Polisi Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha inasaidia upatikanaji wa usafiri pamoja na vifaa vya mawasiliano…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Nane ni kuona kwamba kiwango cha ufaulu wa wanafunzi wa Skuli za Zanzibar unazidi kuimarika kila mwaka katika mitihani yao ya Taifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Nane ni kuona kwamba kiwango cha ufaulu wa wanafunzi wa Skuli za Zanzibar…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa mradi wa kuimarisha Elimu ya Sekondari wa kuwajengea uwezo wa masomo ya Sayansi, Hisabati na Kiingereza walimu unakwenda sambamba na mikakati ya Serikali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa mradi wa kuimarisha Elimu ya Sekondari wa kuwajengea uwezo wa masomo ya Sayansi, Hisabati na Kiingereza…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kwa kuendelea kusimamia ulinzi na usalama hapa nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kwa kuendelea kusimamia ulinzi na usalama hapa nchini.Rais…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko.Alhaj D. Mwinyi…

Read More