Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Salama Mbarouk Khatibu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Ajira na Uwezeshaji kabla ya Uteuzi huo Bi Sa
.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Salama Mbarouk Khatibu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Ajira na Uwezeshaji kabla ya Uteuzi huo Bi Salama Mbarouk Khatib alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.