Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Dey, pamoja na ujumbe wake, waliofika Ikulu Zanzibar