Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza. Maziko hayo yamefanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi na wananchi mbalimbali katika maziko ya marehemu Joseph Abdallah Meza. Maziko hayo yamefanyika leo tarehe 31 Januari 2026, Kisauni, Mkoa wa Mjini Magharibi, majira ya alasiri.