Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea na kumjulia hali Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu Ameir Kificho, aliyelazwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtembelea na kumjulia hali Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu Ameir Kificho, aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mjini Magharibi, Lumumba leo, tarehe 12 Juni 2026.