Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa kuuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David M
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa kuuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, aliyefariki dunia siku chache zilizopita.