RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania –URT. Edith Shekidele, wakati akitembelea maone
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania –URT. Edith Shekidele, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mtende Mkoa wa Kusini Unguja, kabla ya kuzindua Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, uliofanyika leo 10-5-2025 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.