Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 09 Oktoba 2026, ametembelea DOC Medical Center nchini Qatar, kituo cha huduma za afya kinachotoa huduma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 09 Oktoba 2026, ametembelea DOC Medical Center nchini Qatar, kituo cha huduma za afya kinachotoa huduma kupitia idara nane za kitaalamu za kiafya, chini ya mwanzilishi wake na Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Emmanuel Tolessa.