• RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais) na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Nour Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika 20-1-2023.