RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husssein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar akiondoka baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husssein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar akiondoka baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 20-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.