Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa katika Masjid Rashidin, Dole Sokon
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa katika Masjid Rashidin, Dole Sokoni, Mkoa wa Mjini Magharibi na kuwasisitiza Waumini hao kuendelea kuiombea Nchi Amani leo tarehe 21 Septemba, 2025