Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewanasihi waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wote kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema ya a
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewanasihi waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wote kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema ya amani iliyopo nchini.Alhaj Dkt. Mwinyi aliyasema hayo aliipojumuika na waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Miembeni, Mkoa wa Mjini Magharibi.