RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Chwaka katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Simai Msaraka Pinja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Chwaka katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Simai Msaraka Pinja, ikisomwa na Sheikh Abdalla Khamis Juma (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika Kijijini kwao Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo 13-5-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Rashid Sima Msaraka, Mtoto wa Marehemu na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla