Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ufungua rasmi wa Mradi wa Shamba la Ufugaji wa Kuku wa Zan Breed Limited, na akisisitiza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ufungua rasmi wa Mradi wa Shamba la Ufugaji wa Kuku wa Zan Breed Limited, na akisisitiza kuwa uwekezaji huo mkubwa lazima uwanufaishe wafugaji wadogowadogo kupitia elimu, vifaranga bora, chakula cha kuku, huduma za chanjo na masoko ya uhakika.