Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili kwa kishindo katika Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar 2025, hafla iliyofanyika katik
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili kwa kishindo katika Uzinduzi wa Kampeni za CCM Zanzibar 2025, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi huku maelfu ya wananchi wakijitokeza kumpokea kwa shangwe.