Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua kipazia kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya TEMBO KIWENGWA ZANZIBAR RESORT iliyoko Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua kipazia kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya TEMBO KIWENGWA ZANZIBAR RESORT iliyoko Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo tarehe 19 Novemba, 2025