Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiitikia dua mara baada ya kuwaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mwanasiasa Mkong
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiitikia dua mara baada ya kuwaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali katika Mazishi ya aliyekuwa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Ali Ameir Muhammed, aliyefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 26 Novemba 2025.wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam.