Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa Fungua za Nyumba na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Zanzibar ZHC mara tu baada ya uzinduzi wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa Fungua za Nyumba na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba Zanzibar ZHC mara tu baada ya uzinduzi wa Mradi huo wa ujenzi wa nyumba za kisasa wenye makaazi bora kwa gharama nafuu leo, tarehe 22 Novemba 2025,.