Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi chetimmoja wa Wanafunzi ambao wamehitimu masomo ya Elimu ya juu Katika mahafali ambapo wahitimu 2,536 w
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi chetimmoja wa Wanafunzi ambao wamehitimu masomo ya Elimu ya juu Katika mahafali ambapo wahitimu 2,536 wametunukiwa shahada katika ngazi mbalimbali ikiwemo vyeti, stashahada, shahada za uzamili na shahada za uzamivu kwa mwaka wa masomo 2024/2025, ambapo wanawake ni 1,614 na wanaume 922