Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki hiyo nchini Tanz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Mkurugenzi Mkaazi wa Benki hiyo nchini Tanzania, Nathan Belete, uliofika Ikulu leo tarehe 17 Juni 2025.kuonana na mheshimiwa Rais.Dkt. Mwinyi.