RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Heshima, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, akika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Heshima, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kitaaluma la Utumishi wa Umma, akikabidhiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Tanzania Mhe.Deus Clement Sangu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Dkt.Haroun Ali Suleiman, (wakiwa kushoto kwa Rais) hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano hilo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 17-6-2025