RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Simba John Bocco, kwa kuibunga mshindi.

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup Nahodha wa Timu ya Simba John Bocco, kwa kuibunga mshindi wa michuano huo kwa kuifunga Timu ya Azam bao 1-0, katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku,13-1-2022.