Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.