Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam kabla ya kuanza kwa Mashindano ya Kitaifa ya Qurani Tukufu yaliyoandaliwa na T
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam kabla ya kuanza kwa Mashindano ya Kitaifa ya Qurani Tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya Aisha Sururu Foundation, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha washiriki kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.