RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-01-2023 na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa.