Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wenye mahitaji maalumu kwa makundi mbalimbali Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari maalum aliyowa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wenye mahitaji maalumu kwa makundi mbalimbali Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari maalum aliyowaandalia ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein , Tunguu tarehe: 19 Machi 2024