RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiom
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025