RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025