RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya mandhari ya Zanzibar, mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kum
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu ya picha ya mandhari ya Zanzibar, mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe.Daniel Chapo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-5-2025, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja